Psalms 36:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uadilifu wako ni kama milima mikubwa, hukumu zako ni kama vilindi vya bahari. Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wawalinda wanadamu na wanyama
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haki yako ni kama milima mikubwa, hukumu zako ni kama kilindi kikuu. Ee Mwenyezi Mungu, wewe huwahifadhi mwanadamu na mnyama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haki yako ni kama milima ya Mungu, Hukumu zako ni vilindi vikuu, Ee Bwana, unawaokoa wanadamu na wanyama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uadilifu wako ni kama milima mikubwa, hukumu zako ni kama vilindi vya bahari. Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wawalinda wanadamu na wanyama
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haki yako ni kama milima mikubwa, hukumu zako ni kama kilindi kirefu sana. Ee BWANA, wewe huwahifadhi mwanadamu na mnyama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haki yako ni kama milima mikubwa, hukumu zako ni kama kilindi kikuu. Ee bwana, wewe huwahifadhi mwanadamu na mnyama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haki yako ni kama milima ya Mungu, Hukumu zako ni vilindi vikuu, Ee BWANA, unawalinda wanadamu na wanyama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uadilifu wako ni kama milima mikubwa, hukumu zako ni kama vilindi vya bahari. Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wawalinda wanadamu na wanyama
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Welekevu wako unasimama kama milima ya Mungu, maamuzi yako nayo hujenga, kama vilindi vijengavyo, Bwana, unawaokoa wote, watu na nyama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haki yako ni kama milima ya Mungu, Hukumu zako ni vilindi vikuu, Ee BWANA, unawaokoa wanadamu na wanyama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wema wako, ee Yawe, unaenea hata mbinguni; uaminifu wako unafika hata kwenye mawingu.