Psalms 36:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jinsi gani zilivyo bora fadhili zako! Wanadamu hukimbilia kivulini mwa mabawa yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upendo wako usiokoma ni wa thamani mno! Watu wakuu na wadogo hujificha uvulini wa mabawa yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, jinsi zilivyo na thamani fadhili zako! Wanadamu huukimbilia uvuli wa mbawa zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jinsi gani zilivyo bora fadhili zako! Wanadamu hukimbilia kivulini mwa mabawa yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upendo wako usiokoma ni wa thamani mno! Wale wa daraja ya juu na ya chini miongoni mwa wanadamu hupata kimbilio katika uvuli wa mbawa zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upendo wako usiokoma ni wa thamani mno! Watu wakuu na wadogo hujificha uvulini wa mbawa zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, jinsi zilivyo na thamani fadhili zako! Wanadamu huukimbilia uvuli wa mbawa zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jinsi gani zilivyo bora fadhili zako! Wanadamu hukimbilia kivulini mwa mabawa yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kuliko wema wako, Mungu, hakuna chenye kiasi, wana wa watu hukikimbilia kivuli cha mabawa yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, jinsi zilivyo na thamani fadhili zako! Wanadamu huukimbilia uvuli wa mbawa zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haki yako ni kama milima mikubwa, hukumu zako ni kama vilindi vya bahari. Wewe, ee Yawe, unawalinda wanadamu na nyama.