Psalms 36:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wawashibisha kwa utajiri wa nyumba yako; wawanywesha kutoka mto wa wema wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanajifurahisha katika wingi ulio nyumbani mwako, nawe utawanywesha katika mto wa furaha zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watashibishwa kwa unono wa nyumba yako, Nawe utawanywesha mto wa furaha zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wawashibisha kwa utajiri wa nyumba yako; wawanywesha kutoka mto wa wema wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watajifurahisha katika wingi wa vitu vya nyumbani mwako, nawe utawanywesha katika mto wa furaha zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanajifurahisha katika wingi nyumbani mwako, nawe utawanywesha katika mto wa furaha zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watashibishwa kwa unono wa nyumba yako, Nawe utawanywesha kutoka mto wa furaha zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wawashibisha kwa utajiri wa nyumba yako; wawanywesha kutoka mto wa wema wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unono wa nyumba yako wanaushiba, navyo vinywaji vya urembo, unavyowanywesha, ni vingi kama vya mto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watashibishwa kwa unono wa nyumba yako, Nawe utawanywesha mto wa furaha zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli wema wako ni bora! Wanadamu wanakimbilia kwenye kivuli cha mabawa yako.