Psalms 36:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ndiwe asili ya uhai; kwa mwanga wako twaona mwanga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuwa pamoja nawe ni kijito cha uzima, katika nuru yako twaona nuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kwako Wewe iko chemchemi ya uzima, Katika nuru yako tutaona nuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ndiwe asili ya uhai; kwa mwanga wako twaona mwanga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuwa pamoja nawe ni kijito cha uzima, katika nuru yako twaona nuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuwa pamoja nawe ni kijito cha uzima, katika nuru yako twaona nuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kwako Wewe iko chemchemi ya uzima, Katika nuru yako tutaona nuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ndiwe asili ya uhai; kwa mwanga wako twaona mwanga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kwako kiko kisima chenye uzima, namo mwangani mwako tunauona mwanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kwako Wewe iko chemchemi ya uzima, Katika nuru yako tutaona nuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unawashibisha kwa utajiri wa nyumba yako; unawakunywesha katika muto wa wema wako.