Psalms 37:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi) Usihangaike kwa sababu ya waovu; usiwaonee wivu watendao mabaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu, wala usiwaonee wivu watendao mabaya,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usikasirike kwa sababu ya watenda mabaya, Usiwahusudu wafanyao ubatili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usihangaike kwa sababu ya waovu; usiwaonee wivu watendao mabaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu wala usiwaonee wivu watu watendao maovu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu, wala usiwaonee wivu watendao mabaya,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usihangaike kwa sababu ya watenda mabaya, Usiwahusudu wafanyao ubatili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usihangaike kwa sababu ya waovu; usiwaonee wivu watendao mabaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili yao watendao mabaya usijichafushe moyo, wala wafanyao mapotovu usiwaonee wivu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usikasirike kwa sababu ya watenda mabaya, Usiwahusudu wafanyao ubatili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi. Usihangaike kwa sababu ya waovu; usiwaonee wivu wanaotenda mabaya.