Psalms 37:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bado kitambo kidogo, naye mwovu atatoweka; utamtafuta pale alipokuwa, wala hutamwona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bado kitambo kidogo, nao waovu hawataonekana, ingawa utawatafuta, hawataonekana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana bado kitambo kidogo asiye haki hatakuwapo, Utapaangalia mahali pake wala hatakuwapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bado kitambo kidogo, naye mwovu atatoweka; utamtafuta pale alipokuwa, wala hutamwona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bado kitambo kidogo, waovu hawataonekana, ingawa utawatafuta, hawataonekana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bado kitambo kidogo, nao waovu hawataonekana, ingawa utawatafuta, hawataonekana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana bado kitambo kidogo asiye haki hatakuwapo, Utapaangalia mahali pake wala hatakuwepo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bado kitambo kidogo, naye mwovu atatoweka; utamtafuta pale alipokuwa, wala hutamwona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bado kidogo asiyemcha Mungu atakuwa hayupo tena; hapo, utakapopachungulia mahali pake, patakuwa hapapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana bado kitambo kidogo asiye haki hatakuwapo, Utapaangalia mahali pake wala hatakuwapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bado kidogo, mwovu atatoweka; utamutafuta pale alipokuwa, wala hautamwona.