Psalms 37:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wapole wataimiliki nchi, hao watafurahia wingi wa fanaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali wanyenyekevu watairithi nchi na wafurahie amani tele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali wenye upole watairithi nchi, Watajifurahisha kwa wingi wa amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wapole wataimiliki nchi, hao watafurahia wingi wa fanaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali wanyenyekevu watairithi nchi na watafurahia amani tele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali wanyenyekevu watairithi nchi na wafurahie amani tele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali wenye upole watairithi nchi, Watajifurahisha kwa wingi wa amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wapole wataimiliki nchi, hao watafurahia wingi wa fanaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wapole ndio watakaoitwaa nchi, kwa kupata matengemano mengi furaha zitawatosha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali wenye upole watairithi nchi, Watajifurahisha kwa wingi wa amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wapole watarizi inchi, hao wataifurahia amani kamili.