Psalms 37:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waovu huchomoa panga na kuvuta pinde zao, wapate kuwaua maskini na fukara; wawachinje watu waishio kwa unyofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waovu hufuta upanga na kupinda upinde, ili wawaangushe maskini na wahitaji, kuwaua wale ambao njia zao ni nyofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wasio haki wamefuta upanga na kupinda uta, Wamwangushe chini maskini na mhitaji, Na kuwaua wenye mwenendo wa unyofu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waovu huchomoa panga na kuvuta pinde zao, wapate kuwaua maskini na fukara; wawachinje watu waishio kwa unyofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waovu huchomoa upanga na kupinda upinde, ili wawaangushe maskini na wahitaji, kuwachinja wale ambao njia zao ni nyofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waovu huchomoa upanga na kupinda upinde, ili wawaangushe maskini na wahitaji, kuwachinja wale ambao njia zao ni nyofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wasio haki wamefuta upanga na kupinda uta, Wamwangushe chini maskini na mhitaji, Na kuwaua wenye mwenendo wa unyofu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waovu huchomoa panga na kuvuta pinde zao, wapate kuwaua maskini na fukara; wawachinje watu waishio kwa unyofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasiomcha Mungu huchomoa panga na kuzipinda pindi zao, wapate kuwaangusha walio wanyonge na wakiwa, nao wafuatao njia zinyokazo wawachinje.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wasio haki wamefuta upanga na kupinda uta, Wamwangushe chini maskini na mhitaji, Na kuwaua wenye mwenendo wa unyofu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu wanachomoa panga na kuvuta pinde zao, wapate kuwaua wamasikini na wakosefu; wawachinje watu wenye mwenendo sawa.