Psalms 37:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Afadhali mali kidogo ya mtu mwadilifu kuliko utajiri wa watu waovu wengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bora kidogo walicho nacho wenye haki kuliko wingi wa mali ya waovu wengi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kidogo alicho nacho mwenye haki ni bora Kuliko wingi wa mali wa wasio haki wengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Afadhali mali kidogo ya mtu mwadilifu kuliko utajiri wa watu waovu wengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bora kidogo walichonacho wenye haki kuliko wingi wa mali walizo nazo waovu wengi;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bora kidogo walicho nacho wenye haki kuliko wingi wa mali wa waovu wengi;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kidogo alicho nacho mwenye haki ni bora Kuliko wingi wa mali wa wasio haki wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Afadhali mali kidogo ya mtu mwadilifu kuliko utajiri wa watu waovu wengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mema machache ya mwongofu ni mali, nazo zinapita mafuriko mengi yao wasiomcha Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kidogo alicho nacho mwenye haki ni bora Kuliko wingi wa mali wa wasio haki wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Afazali mali kidogo ya mutu wa haki kuliko utajiri mwingi wa watu waovu.