Psalms 37:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana nguvu za waovu zitavunjwa, lakini Mwenyezi-Mungu huwategemeza waadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana nguvu za waovu zitavunjwa, lakini Mwenyezi Mungu humtegemeza mwenye haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mikono ya wasio haki itavunjika, Bali Bwana huwategemeza wenye haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana nguvu za waovu zitavunjwa, lakini Mwenyezi-Mungu huwategemeza waadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana nguvu za waovu zitavunjwa, lakini BWANA humtegemeza mwenye haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana nguvu za waovu zitavunjwa, lakini bwana humtegemeza mwenye haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mikono ya wasio haki itavunjika, Bali BWANA huwategemeza wenye haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana nguvu za waovu zitavunjwa, lakini Mwenyezi-Mungu huwategemeza waadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mikono yao wasiomcha Mungu itavunjwa, lakini wao walio waongofu Bwana huwashikiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mikono ya wasio haki itavunjika, Bali BWANA huwategemeza wenye haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana nguvu za waovu zitavunjwa, lakini Yawe atawaimarisha watu wa haki.