Psalms 37:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu hutunza maisha ya watu waaminifu, na urithi wao utadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu anazifahamu siku za wanyofu, na urithi wao utadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana anazijua siku za wakamilifu, Na urithi wao utakuwa wa milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu hutunza maisha ya watu waaminifu, na urithi wao utadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA anazifahamu siku za wanyofu, na urithi wao utadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana anazifahamu siku za wanyofu, na urithi wao utadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA huwatunza waaminifu, Na urithi wao utakuwa wa milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu hutunza maisha ya watu waaminifu, na urithi wao utadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana huzijua siku zao wamchao, nayo mafungu yao yatakuwapo kale na kale
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA anazijua siku za wakamilifu, Na urithi wao utakuwa wa milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anatunza maisha ya watu wakamilifu, na urizi wao utadumu milele.