Psalms 37:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawataaibika zikifika nyakati mbaya; siku za njaa watakuwa na chakula tele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku za maafa hawatanyauka, siku za njaa watafurahia wingi wa vitu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawataaibika wakati wa ubaya, Na siku za njaa watashiba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawataaibika zikifika nyakati mbaya; siku za njaa watakuwa na chakula tele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku za maafa hawatanyauka, siku za njaa watafurahia kuwa na wingi wa vitu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku za maafa hawatanyauka, siku za njaa watafurahia wingi wa vitu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawataaibika wakati wa ubaya, Na siku za njaa watashiba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawataaibika zikifika nyakati mbaya; siku za njaa watakuwa na chakula tele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zitakapokuwa mbaya, hawatatwezeka, ila watashiba vema nazo siku za njaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawataaibika wakati wa ubaya, Na siku za njaa watashiba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawatafezeheka nyakati mbaya zikiwafikia; siku za njaa watakuwa na chakula tele.