Psalms 37:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana hao watatoweka mara kama nyasi; watanyauka kama mimea mibichi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana watanyauka upesi kama majani, watakufa upesi kama mimea ya kijani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kama majani watakatika mara, Kama miche mibichi watanyauka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana hao watatoweka mara kama nyasi; watanyauka kama mimea mibichi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana kama majani watanyauka mara, kama mimea ya kijani watakufa mara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana kama majani watanyauka mara, kama mimea ya kijani watakufa mara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kama majani watakatika mara, Kama miche mibichi watanyauka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana hao watatoweka mara kama nyasi; watanyauka kama mimea mibichi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hunyauka upesi kama majani, kama machipuko mazuri ya uwandani watakauka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kama majani watakatika mara, Kama miche mibichi watanyauka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana hao watatoweka mara moja kama nyasi; watanyauka kama majani.