Psalms 37:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini waovu wataangamia, maadui za Mwenyezi-Mungu watanyauka kama maua nyikani; naam, watatoweka kama moshi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini waovu wataangamia: Adui za Mwenyezi Mungu watakuwa kama uzuri wa mashamba, watatoweka, watatoweka kama moshi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali wasio haki watapotea, Nao wamchukiao Bwana watatoweka, Kama uzuri wa mashamba, Kama moshi watatoweka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini waovu wataangamia, maadui za Mwenyezi-Mungu watanyauka kama maua nyikani; naam, watatoweka kama moshi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini waovu wataangamia: Adui za BWANA watatoweka kama uzuri wa mashamba, watatoweka, watatoweka kama moshi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini waovu wataangamia: Adui za bwana watakuwa kama uzuri wa mashamba, watatoweka, watatoweka kama moshi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali wasio haki watapotea, Nao wamchukiao BWANA watatoweka, Kama uzuri wa mashamba, Kama moshi watatoweka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini waovu wataangamia, maadui za Mwenyezi-Mungu watanyauka kama maua nyikani; naam, watatoweka kama moshi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wasiomcha Mungu wataangamia, nao wamchukiao Bwana watatoweka, kama uzuri wa majani ya uwandani unavyotoweka; watatoweka kweli kama moshi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali wasio haki watapotea, Nao wamchukiao BWANA watatoweka, Kama uzuri wa mashamba, Kama moshi watatoweka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini waovu wataangamia, waadui za Yawe watanyauka kama maua katika jangwa; kweli watatoweka kama moshi.