Psalms 37:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu mwovu hukopa bila kurudisha; lakini mwadilifu hutoa kwa ukarimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waovu hukopa na hawalipi, bali wenye haki hutoa kwa ukarimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asiye haki hukopa wala halipi, Bali mwenye haki hufadhili, hukirimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu mwovu hukopa bila kurudisha; lakini mwadilifu hutoa kwa ukarimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waovu hukopa na hawalipi, bali wenye haki hutoa kwa ukarimu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waovu hukopa na hawalipi, bali wenye haki hutoa kwa ukarimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asiye haki hukopa wala halipi, Bali mwenye haki hufadhili, hukirimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu mwovu hukopa bila kurudisha; lakini mwadilifu hutoa kwa ukarimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asiyemcha Mungu hukopa, asiweze kulipa; mwongofu huweza kugawia na kuwapa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asiye haki hukopa wala halipi, Bali mwenye haki hufadhili, hukirimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu mwovu anakopesha bila kurudisha; lakini mutu wa haki anatoa kwa moyo safi.