Psalms 37:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliobarikiwa na Mwenyezi-Mungu wataimiliki nchi, lakini waliolaaniwa naye watafutiliwa mbali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanaobarikiwa na Mwenyezi Mungu watairithi nchi, bali wale anaowalaani watakatiliwa mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana waliobarikiwa na yeye watairithi nchi, Nao waliolaaniwa na yeye wataharibiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliobarikiwa na Mwenyezi-Mungu wataimiliki nchi, lakini waliolaaniwa naye watafutiliwa mbali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wale wanaobarikiwa na BWANA watairithi nchi, bali wale anaowalaani watakatiliwa mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wanaobarikiwa na bwana watairithi nchi, bali wale anaowalaani watakatiliwa mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana waliobarikiwa na BWANA watairithi nchi, Nao waliolaaniwa naye watakatiliwa mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliobarikiwa na Mwenyezi-Mungu wataimiliki nchi, lakini waliolaaniwa naye watafutiliwa mbali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wabarikiwao naye Bwana huitwaa nchi, lakini waapizwao naye watang'olewa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana waliobarikiwa na yeye watairithi nchi, Nao waliolaaniwa na yeye wataharibiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliobarikiwa na Yawe watarizi inchi, lakini waliolaaniwa naye wataongolewa.