Psalms 37:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huziongoza nyayo za mtu, humlinda yule ampendezaye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama Mwenyezi Mungu akipendezwa na njia ya mtu, yeye huimarisha hatua zake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hatua za mtu zaimarishwa na Bwana, Naye aipenda njia yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huziongoza nyayo za mtu, humlinda yule ampendezaye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama BWANA akipendezwa na njia ya mtu, huimarisha hatua zake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama bwana akipendezwa na njia ya mtu, yeye huimarisha hatua zake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hatua za mtu mwema huimarishwa na BWANA, Naye huipenda njia yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huziongoza nyayo za mtu, humlinda yule ampendezaye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwendo wa mtu unashupazwa naye Bwana, akiwa anapendezwa na njia, yule anayoishika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hatua za mtu zaimarishwa na BWANA, Naye aipenda njia yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anaongoza mutu katika njia yake, anamulinda yule anayemupendeza.