Psalms 37:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ajapoanguka, haanguki akabaki chini, kwa sababu Mwenyezi-Mungu humtegemeza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ajapojikwaa, hataanguka, kwa maana Mwenyezi Mungu humtegemeza kwa mkono wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ajapojikwaa hataanguka chini, Bwana humshika mkono na kumtegemeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ajapoanguka, haanguki akabaki chini, kwa sababu Mwenyezi-Mungu humtegemeza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ajapojikwaa, hataanguka, kwa maana BWANA humtegemeza kwa mkono wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ajapojikwaa, hataanguka, kwa maana bwana humtegemeza kwa mkono wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ajapojikwaa hataanguka chini, Maana BWANA humshika mkono na kumtegemeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ajapoanguka, haanguki akabaki chini, kwa sababu Mwenyezi-Mungu humtegemeza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama anajikwaa, hataangushwa chini, kwani Bwana humshika mkono wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ajapojikwaa hataanguka chini, BWANA humshika mkono na kumtegemeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata akianguka, hatabaki chini, kwa sababu Yawe anamuimarisha.