Psalms 37:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilikuwa kijana na sasa ni mzee; kamwe sijaona mwadilifu ameachwa na Mungu, au watoto wake wakiombaomba chakula.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilikuwa kijana na sasa ni mzee, lakini sijaona kamwe wenye haki wameachwa au watoto wao wakiombaomba chakula.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalikuwa kijana nami sasa ni mzee, Lakini sijamwona mwenye haki ameachwa Wala mzao wake akiomba chakula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilikuwa kijana na sasa ni mzee; kamwe sijaona mwadilifu ameachwa na Mungu, au: watoto wake wakiombaomba chakula.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilikuwa kijana na sasa ni mzee, lakini sijaona kamwe wenye haki wameachwa au watoto wao wakiomba omba chakula.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilikuwa kijana na sasa ni mzee, lakini sijaona kamwe wenye haki wameachwa au watoto wao wakiombaomba chakula.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilikuwa kijana na sasa ni mzee, Lakini sijamwona mwenye haki ameachwa Wala mzao wake akiomba chakula.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilikuwa kijana na sasa ni mzee; kamwe sijaona mwadilifu ameachwa na Mungu, au watoto wake wakiombaomba chakula.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalikuwa kijana, nikaja kuwa mzee, lakini sijaona bado mwongofu aliyeachwa peke yake, wala watoto wake wakiombaomba chakula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalikuwa kijana nami sasa ni mzee, Lakini sijamwona mwenye haki ameachwa Wala mzao wake akiomba chakula.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilikuwa kijana na sasa mimi ni muzee; hata kidogo sijaona mutu wa haki ameachwa na Mungu, au watoto wake wakiombaomba chakula.