Psalms 37:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daima huwapa wengine kwa furaha na kukopesha, na watoto wake ni baraka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wote ni wakarimu na hukopesha bila masharti. Watoto wao watabarikiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mchana kutwa hufadhili na kukopesha, Na mzao wake hubarikiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daima huwapa wengine kwa furaha na kukopesha, na watoto wake ni baraka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wote ni wakarimu hukopesha bila masharti, watoto wao watabarikiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wote ni wakarimu na hukopesha bila masharti. Watoto wao watabarikiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mchana kutwa hufadhili na kukopesha, Na mzao wake hubarikiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daima huwapa wengine kwa furaha na kukopesha, na watoto wake ni baraka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila siku anaweza kugawia wengine, hata kuwakopesha, nao watoto wake hubarikiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mchana kutwa hufadhili na kukopesha, Na mzao wake hubarikiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku zote yeye anakopesha kwa moyo safi, na watoto wake ni wenye baraka.