Psalms 37:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtumainie Mwenyezi-Mungu na kutenda mema, upate kuishi katika nchi na kuwa salama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtumaini Mwenyezi Mungu na utende yaliyo mema. Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umtumaini Bwana ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtumainie Mwenyezi-Mungu na kutenda mema, upate kuishi katika nchi na kuwa salama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtumaini BWANA na utende yaliyo mema, ukae katika nchi ukafurahie malisho salama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtumaini bwana na utende yaliyo mema; Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umtumaini BWANA ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtumainie Mwenyezi-Mungu na kutenda mema, upate kuishi katika nchi na kuwa salama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwegemee Bwana, ufanye mema! Kaa katika nchi, ujilishe mambo yaelekeayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umtumaini BWANA ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umutumainie Yawe na kutenda mazuri, upate kuishi katika inchi na kuwa salama.