Psalms 37:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini Mwenyezi-Mungu hatamtia mtu mwema makuchani mwake, wala kumwacha apatilizwe akishtakiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini Mwenyezi Mungu hatawaacha mikononi mwao wala hatawaacha wahukumiwe kuwa wakosa wanaposhtakiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana hatamwacha mkononi mwake, Wala hatamlaumu atakapohukumiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini Mwenyezi-Mungu hatamtia mtu mwema makuchani mwake, wala kumwacha apatilizwe akishtakiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini BWANA hatawaacha mikononi mwao wala hatawaacha wahukumiwe kuwa wakosa wanaposhtakiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini bwana hatawaacha mikononi mwao wala hatawaacha wahukumiwe kuwa wakosa wanaposhtakiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA hatamwacha mkononi mwake, Wala hatamwacha alaumiwe atakapohukumiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini Mwenyezi-Mungu hatamtia mtu mwema makuchani mwake, wala kumwacha apatilizwe akishtakiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Bwana hatamwacha mkononi mwake; hata akihukumiwa naye yule, hatamhesabu kuwa mbaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA hatamwacha mkononi mwake, Wala hatamlaumu atakapohukumiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini Yawe hatamutoa mutu wa haki katika makucha yake, wala kumwachilia aazibiwe anaposhitakiwa.