Psalms 37:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtumainie Mwenyezi-Mungu na kushika njia yake, naye atakukuza uimiliki nchi, na kuwaona waovu wakiangamizwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mngojee Mwenyezi Mungu, na uishike njia yake. Naye atakutukuza uirithi nchi, waovu watakapokatiliwa mbali, utaliona hilo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe umngoje Bwana, Uishike njia yake, Naye atakutukuza uirithi nchi, Wasio haki watakapoharibiwa utawaona.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtumainie Mwenyezi-Mungu na kushika njia yake, naye atakukuza uimiliki nchi, na kuwaona waovu wakiangamizwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umngojee BWANA, na uishike njia yake. Naye atakutukuza uirithi nchi, waovu watakapokatiliwa mbali, utaliona hilo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mngojee bwana, na uishike njia yake. Naye atakutukuza uirithi nchi, waovu watakapokatiliwa mbali, utaliona hilo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe umngoje BWANA, Uishike njia yake, Naye atakutukuza uirithi nchi, Utawaona Wasio haki wakiangamizwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtumainie Mwenyezi-Mungu na kushika njia yake, naye atakukuza uimiliki nchi, na kuwaona waovu wakiangamizwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ishike njia yake Bwana na kumngojea! Ndipo, atakapokukweza, uitwae nchi; nako kung'olewa kwao wasiomcha utakufurahia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe umngoje BWANA, Uishike njia yake, Naye atakutukuza uirithi nchi, Wasio haki watakapoharibiwa utawaona.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umutumainie Yawe na kushika njia yake, naye atakuinua uirizi inchi, na kuwaona waovu wakiongolewa.