Psalms 37:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye nikapita hapo, naye hakuwapo tena; nikamtafuta, lakini hakuonekana tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini alitoweka upesi na hakuonekana, ingawa nilimtafuta, hakupatikana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikapita na kumbe! Hayuko, Nikamtafuta wala hakuonekana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye nikapita hapo, naye hakuwapo tena; nikamtafuta, lakini hakuonekana tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini alitoweka mara na hakuonekana, ingawa nilimtafuta, hakupatikana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini alitoweka mara na hakuonekana, ingawa nilimtafuta, hakupatikana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikapita na kumbe! Hayuko, Nikamtafuta wala hakuonekana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye nikapita hapo, naye hakuwapo tena; nikamtafuta, lakini hakuonekana tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nilipomtazama, siku zilipopita, alikuwa hayupo, nikamtafuta, lakini hakuoneka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikapita na kumbe! Hayuko, Nikamtafuta wala hakuonekana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha nikapita pale, naye hakukuwa tena; nikamutafuta, lakini hakuonekana tena.