Psalms 37:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huwaokoa waadilifu, na kuwalinda wakati wa taabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wokovu wa wenye haki hutoka kwa Mwenyezi Mungu, yeye ni ngome yao wakati wa shida.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wokovu wa wenye haki una Bwana; Yeye ni ngome yao wakati wa taabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huwaokoa waadilifu, na kuwalinda wakati wa taabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wokovu wa wenye haki hutoka kwa BWANA, yeye ni ngome yao wakati wa shida.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wokovu wa wenye haki hutoka kwa bwana, yeye ni ngome yao wakati wa shida.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wokovu wa wenye haki una BWANA; Yeye ni ngome yao wakati wa taabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huwaokoa waadilifu, na kuwalinda wakati wa taabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wokovu wao waongofu hutoka kwake Bwana, yeye ni nguvu yao siku, wanaposongeka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wokovu wa wenye haki una BWANA; Yeye ni ngome yao wakati wa taabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anawaokoa watu wa haki, na kuwalinda wakati wa taabu.