Psalms 37:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uitafute furaha yako kwa Mwenyezi-Mungu, naye atakujalia unayotamani moyoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jifurahishe katika Mwenyezi Mungu naye atakupa haja za moyo wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utajifurahisha kwa Bwana, Naye atakupa haja za moyo wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uitafute furaha yako kwa Mwenyezi-Mungu, naye atakujalia unayotamani moyoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jifurahishe katika BWANA naye atakupa haja za moyo wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jifurahishe katika bwana naye atakupa haja za moyo wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe ujifurahishe katika BWANA, Naye atakutimizia haja za moyo wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uitafute furaha yako kwa Mwenyezi-Mungu, naye atakujalia unayotamani moyoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Furaha zilizoko kwake Bwana na zikutoshe! Naye ndiye atakayekupa, moyo wako uyatakayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utajifurahisha kwa BWANA, Naye atakupa haja za moyo wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uitafute furaha yako kwa Yawe, naye atakujalia unayotamani katika moyo.