Psalms 37:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkabidhi Mwenyezi-Mungu maisha yako; mtumainie yeye naye atafanya kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkabidhi Mwenyezi Mungu njia yako, mtumaini yeye, naye atatenda hili:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umkabidhi Bwana njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkabidhi Mwenyezi-Mungu maisha yako; mtumainie yeye naye atafanya kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkabidhi BWANA njia yako, mtumaini yeye naye atatenda hili:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkabidhi bwana njia yako, mtumaini yeye, naye atatenda hili:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumainie, naye atakutendea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkabidhi Mwenyezi-Mungu maisha yako; mtumainie yeye naye atafanya kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Acha, Bwana akuchagulie njia, utakayoishika! Mwegemee tu, yeye atafanya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umutolee Yawe maisha yako, umutumainie yeye, naye atakufanyia kitu.