Psalms 37:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ataufanya wema wako ungae kama mwanga, na uadilifu wako kama jua la adhuhuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye atafanya haki yako ing’ae kama mapambazuko, na hukumu ya shauri lako kama jua la adhuhuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ataitokeza haki yako kama nuru, Na hukumu yako kama adhuhuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ataufanya wema wako ung'ae kama mwanga, na uadilifu wako kama jua la adhuhuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yeye atafanya haki yako ing'ae kama mapambazuko, hukumu kama jua la adhuhuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye atafanya haki yako ing’ae kama mapambazuko, na hukumu ya shauri lako kama jua la adhuhuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ataitokeza haki yako kama nuru, Na hukumu yako kama jina la adhuhuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ataufanya wema wako ungae kama mwanga, na uadilifu wako kama jua la adhuhuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atautokeza wongofu wako, uwe kama mwanga; nayo mashauri yako yataangazika kama jua la mchana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ataitokeza haki yako kama nuru, Na hukumu yako kama adhuhuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ataifanya haki yako iangae kama mwangaza wa jua muchana kati.