Psalms 37:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tulia mbele ya Mwenyezi-Mungu, mngojee kwa saburi; usihangaike juu ya wale wanaofanikiwa, watu wanaofaulu katika mipango yao mibaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tulia mbele za Mwenyezi Mungu na umngojee kwa uvumilivu; usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao, wanapotekeleza mipango yao miovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukae kimya mbele za Bwana, Nawe umngojee kwa saburi; Usimkasirikie yeye afanikiwaye katika njia yake, Wala mtu afanyaye hila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tulia mbele ya Mwenyezi-Mungu, mngojee kwa saburi; usihangaike juu ya wale wanaofanikiwa, watu wanaofaulu katika mipango yao mibaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tulia mbele za BWANA na umngojee kwa uvumilivu; usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao, wanapotekeleza mipango yao miovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tulia mbele za bwana na umngojee kwa uvumilivu; usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao, wanapotekeleza mipango yao miovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utulie mbele za BWANA, Nawe umngojee kwa subira; Usihangaike juu ya afanikiwaye katika njia yake, Wala mtu apangaye maovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tulia mbele ya Mwenyezi-Mungu, mngojee kwa saburi; usihangaike juu ya wale wanaofanikiwa, watu wanaofaulu katika mipango yao mibaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mnyamazie Bwana na kumngoja! Mwenzio akiona mema njiani, usiwake moto, ijapo awe mtu afanyaye madanganyo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukae kimya mbele za BWANA, Nawe umngojee kwa saburi; Usimkasirikie yeye afanikiwaye katika njia yake, Wala mtu afanyaye hila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tulia mbele ya Yawe, umungojee kwa uvumilivu; usihangaike juu ya wale wanaofanikiwa, ndio watu wanaojaliwa katika mipango yao mibaya.