Psalms 37:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Epuka hasira wala usiwe na ghadhabu; usihangaike maana hiyo huzidisha ubaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Epuka hasira na uache ghadhabu; usihangaike: itakuongoza tu kutenda uovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukomeshe hasira, uache ghadhabu, Usikasirike, mwisho wake ni kutenda mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Epuka hasira wala usiwe na ghadhabu; usihangaike maana hiyo huzidisha ubaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Epuka hasira na uache ghadhabu, usihangaike, itakuongoza tu kwenye ubaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Epuka hasira na uache ghadhabu, usihangaike: itakuongoza tu kutenda uovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukomeshe hasira, uache ghadhabu, Usikasirike, mwisho wake ni kutenda mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Epuka hasira wala usiwe na ghadhabu; usihangaike maana hiyo huzidisha ubaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tuliza ukali, uache kufoka! Usiwake moto, usije kukukosesha!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukomeshe hasira, uache ghadhabu, Usikasirike, mwisho wake ni kutenda mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiwake hasira wala kuwa na kasirani; usihangaike, maana hiyo inazidisha ubaya.