Psalms 37:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu watendao mabaya wataangamizwa, bali wanaomtumaini Mwenyezi-Mungu wataimiliki nchi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana waovu watakatiliwa mbali, bali wale wanaomtumaini Mwenyezi Mungu watairithi nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana watenda mabaya wataharibiwa, Bali wamngojao Bwana ndio watakaoirithi nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu watendao mabaya wataangamizwa, bali wanaomtumaini Mwenyezi-Mungu wataimiliki nchi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana waovu watakatiliwa mbali, bali wale wanaomtumaini BWANA watairithi nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana waovu watakatiliwa mbali, bali wale wanaomtumaini bwana watairithi nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana watenda mabaya watakatiliwa mbali, Bali wamngojao BWANA ndio watakaoirithi nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu watendao mabaya wataangamizwa, bali wanaomtumaini Mwenyezi-Mungu wataimiliki nchi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wafanyao mabaya watang'olewa, lakini wao wamngojeao Bwana wataitwaa nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana watenda mabaya wataharibiwa, Bali wamngojao BWANA ndio watakaoirithi nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wanaotenda mabaya wataangamizwa, lakini wanaomutumainia Yawe watarizi inchi.