Psalms 38:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi ya matoleo) Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, usinikemee katika hasira yako, wala kuniadhibu katika ghadhabu yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, usinilaumu katika ghadhabu yako, Wala usiniadhibu kwa ukali wa hasira yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) Ee BWANA, usinikemee katika hasira yako wala kuniadhibu katika ghadhabu yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, usinikemee katika hasira yako, wala kuniadhibu katika ghadhabu yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, usinilaumu katika ghadhabu yako, Wala usiniadhibu kwa ukali wa hasira yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, usinipatilize kwa ukali wako, wala kwa machafuko yako yenye moto usinichapue!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, usinilaumu katika ghadhabu yako, Wala usiniadhibu kwa ukali wa hasira yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi, inayoelekea sadaka yake ya ukumbusho.