Psalms 38:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Moyo wanidunda, nguvu zimeniishia; hata macho yangu nayo yamekwisha fifia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moyo wangu unapigapiga, nguvu zangu zimeniishia; hata macho yangu yametiwa giza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo wangu unapwita-pwita, Nguvu zangu zimeniacha; Nuru ya macho yangu nayo imeniondoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Moyo wanidunda, nguvu zimeniishia; hata macho yangu nayo yamekwisha fifia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moyo wangu unapigapiga, nguvu zangu zimeniishia; hata macho yangu yametiwa giza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moyo wangu unapigapiga, nguvu zangu zimeniishia; hata macho yangu yametiwa giza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo wangu unadundadunda, Nguvu zangu zimenitoka; Nuru ya macho yangu nayo imeniondoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Moyo wanidunda, nguvu zimeniishia; hata macho yangu nayo yamekwisha fifia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo wangu unatetemeka kwa kutokwa na nguvu, nilizokuwa nazo, nao mwanga wa macho yangu haumo tena mwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo wangu unapwita-pwita, Nguvu zangu zimeniacha; Nuru ya macho yangu nayo imeniondoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe, wewe unajua mahitaji yangu yote; sifichi kilio changu mbele yako.