Psalms 38:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Rafiki na wenzangu wanaepa kuona mateso yangu, na jamaa zangu wanakaa mbali nami.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rafiki na wenzangu wananikwepa kwa sababu ya majeraha yangu; majirani wangu wanakaa mbali nami.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanipendao na rafiki zangu wanasimama mbali na pigo langu; Naam, karibu zangu wamesimama mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Rafiki na wenzangu wanaepa kuona mateso yangu, na jamaa zangu wanakaa mbali nami.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rafiki na wenzangu wananikwepa kwa sababu ya majeraha yangu; majirani zangu wanakaa mbali nami.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rafiki na wenzangu wananikwepa kwa sababu ya majeraha yangu; majirani zangu wanakaa mbali nami.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanipendao na rafiki zangu wanasimama mbali na pigo langu; Na jamaa zangu wanasimama mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Rafiki na wenzangu wanaepa kuona mateso yangu, na jamaa zangu wanakaa mbali nami.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wapenzi wangu na rafiki zangu husimama mbali kwa kuviona hivyo, ninavyopatilizwa; nao walio ndugu zangu husimama mbali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanipendao na rafiki zangu wanasimama mbali na pigo langu; Naam, karibu zangu wamesimama mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moyo wangu unapigapiga, nguvu zimeniishia; hata macho yangu nayo yamekwisha fifia.