Psalms 38:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaotaka kuniua wanatega mitego yao; wanaonitakia niumie wanatishia kuniangamiza. Mchana kutwa wanafanya mipango dhidi yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanaotafuta uhai wangu wanatega mitego yao, wale ambao wangetaka kunidhuru huongea kuhusu maangamizi yangu; hupanga hila mchana kutwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wanaoutafuta uhai wangu hutega mitego; Nao wanaotaka kunidhuru hunena mabaya; Na kufikiri hila mchana kutwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaotaka kuniua wanatega mitego yao; wanaonitakia niumie wanatishia kuniangamiza. Mchana kutwa wanafanya mipango dhidi yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wanaotafuta uhai wangu wanatega mitego yao, wale ambao wangetaka kunidhuru huongea juu ya maangamizi yangu; hufanya shauri la hila mchana kutwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wanaotafuta uhai wangu wanatega mitego yao, wale ambao wangetaka kunidhuru huongea juu ya maangamizi yangu; hufanya shauri la hila mchana kutwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wanaoutafuta uhai wangu hutega mitego; Nao wanaotaka kunidhuru hunena mabaya; Na kufikiri hila mchana kutwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaotaka kuniua wanatega mitego yao; wanaonitakia niumie wanatishia kuniangamiza. Mchana kutwa wanafanya mipango dhidi yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanaonitakia roho yangu wananitegea, wanaotafuta, watakavyoniangamiza vibaya, wanasema mapotovu, wananong'onezana madanganyifu mchana kutwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wanaoutafuta uhai wangu hutega mitego; Nao wanaotaka kunidhuru hunena mabaya; Na kufikiri hila mchana kutwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Warafiki na wenzangu wanaepuka kuona mateso yangu, na wandugu zangu wanakaa mbali nami.