Psalms 38:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi nimekuwa kama kiziwi, sisikii; nimekuwa kama bubu asiyeweza kusema kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi ni kama kiziwi, asiyeweza kusikia, ni kama bubu, asiyeweza kufungua kinywa chake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kama kiziwi sisikii, Nami ni kama bubu asiyefumbua kinywa chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi nimekuwa kama kiziwi, sisikii; nimekuwa kama bubu asiyeweza kusema kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi ni kama mtu kiziwi, asiyeweza kusikia, ni kama bubu, asiyeweza kufungua kinywa chake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi ni kama mtu kiziwi, asiyeweza kusikia, ni kama bubu, asiyeweza kufungua kinywa chake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kama kiziwi sisikii, Nami ni kama bubu asiyefumbua kinywa chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi nimekuwa kama kiziwi, sisikii; nimekuwa kama bubu asiyeweza kusema kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi niko kwao kama kiziwi, nisiyasikie, au kama bubu asiyefumbua kinywa chake; ndivyo, nilivyo kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kama kiziwi sisikii, Nami ni kama bubu asiyefumbua kinywa chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaotaka kuniua wanatega mitego yao; wanaonitakia niumie wanakusudia kuniangamiza. Muchana kutwa wanafanya mipango juu yangu.