Psalms 38:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, nimekuwa kama mtu asiyesikia, kama mtu asiye na chochote cha kujitetea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nimekuwa kama mtu asiyesikia, ambaye kinywa chake hakiwezi kutoa jibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, nimekuwa kama mtu asiyesikia, Ambaye hamna hoja kinywani mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, nimekuwa kama mtu asiyesikia, kama mtu asiye na chochote cha kujitetea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nimekuwa kama mtu asiyesikia, ambaye kinywa chake hakiwezi kutoa jibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nimekuwa kama mtu asiyesikia, ambaye kinywa chake hakiwezi kutoa jibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, nimekuwa kama mtu asiyesikia, Ambaye hamna ubishi kinywani mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, nimekuwa kama mtu asiyesikia, kama mtu asiye na chochote cha kujitetea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli ninafanana na mtu asiyesikia, asiyeweza kubisha na kinywa chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, nimekuwa kama mtu asiyesikia, Ambaye hamna hoja kinywani mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi nimekuwa kama kiziwi, sisikii; nimekuwa kama bubu asiyeweza kusema kitu.