Psalms 38:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ninakutumainia wewe, ee Mwenyezi-Mungu; wewe, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, ndiwe utakayenijibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, ninakungojea wewe, Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, utajibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa nakungoja Wewe, Bwana, Wewe utajibu, Ee Bwana, Mungu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ninakutumainia wewe, ee Mwenyezi-Mungu; wewe, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, ndiwe utakayenijibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, ninakungojea wewe, Ee Bwana Mungu wangu, utajibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, ninakungojea wewe, Ee Bwana Mungu wangu, utajibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa nakungoja Wewe, BWANA, Wewe utajibu, Ee Bwana, Mungu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ninakutumainia wewe, ee Mwenyezi-Mungu; wewe, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, ndiwe utakayenijibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe Bwana ndiwe, niliyekungojea; wewe utawajibu, Bwana Mungu wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa nakungoja Wewe, BWANA, Wewe utajibu, Ee Bwana, Mungu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli, nimekuwa kama mutu asiyesikia, kama mutu asiyekuwa na chochote cha kujitetea.