Psalms 38:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Karibu sana nitaanguka; nakabiliwa na maumivu ya daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana ninakaribia kuanguka, na maumivu yangu yananiandama siku zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mimi ni karibu na kusita, Na maumivu yangu yako mbele yangu daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Karibu sana nitaanguka; nakabiliwa na maumivu ya daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana ninakaribia kuanguka, na maumivu yangu yananiandama siku zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana ninakaribia kuanguka, na maumivu yangu yananiandama siku zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mimi ni karibu na kusita, Na maumivu yangu yako mbele yangu daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Karibu sana nitaanguka; nakabiliwa na maumivu ya daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kuvunjika kuko karibu kwangu mimi, maumivu yangu hayakomi hata kidogo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mimi ni karibu na kusita, Na maumivu yangu yako mbele yangu daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakuomba tu waadui wasinisimange, wasijitukuze juu ya kuanguka kwangu.