Psalms 38:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naungama uovu wangu; dhambi zangu zanisikitisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naungama uovu wangu, ninataabishwa na dhambi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana nitaungama uovu wangu, Na kusikitika kwa dhambi zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naungama uovu wangu; dhambi zangu zanisikitisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naungama uovu wangu, ninataabishwa na dhambi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naungama uovu wangu, ninataabishwa na dhambi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana nitaungama uovu wangu, Na kusikitika kwa dhambi zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naungama uovu wangu; dhambi zangu zanisikitisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Manza, nilizozikora, ninaziungama, kwa kuyasikitikia hayo, niliyoyakosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana nitaungama uovu wangu, Na kusikitika kwa dhambi zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ni karibu ya kuanguka; ninakuwa na maumivu ya siku zote.