Psalms 38:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadui zangu hawajambo, wana nguvu; ni wengi mno hao wanaonichukia bure.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengi wamekua adui zangu bila sababu; wale wanaonichukia bure ni wengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini adui zangu ni wazima wenye nguvu, Nao wanaonichukia bure wamekuwa wengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadui zangu hawajambo, wana nguvu; ni wengi mno hao wanaonichukia bure.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengi ni wale ambao ni adui zangu hodari, wale wanaonichukia bila sababu ni wengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengi ni wale ambao ni adui zangu hodari, wale wanaonichukia bila sababu ni wengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini walio adui zangu bila sababu wana nguvu, Nao wanaonichukia bure wamekuwa wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadui zangu hawajambo, wana nguvu; ni wengi mno hao wanaonichukia bure.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini adui zangu ni wenye uzima, nguvu za miili wanazo, nao wanaonichukia bure ndio wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini adui zangu ni wazima wenye nguvu, Nao wanaonichukia bure wamekuwa wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninaungama uovu wangu; zambi zangu zinanisikitisha.