Psalms 38:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mishale yako imenichoma; mkono wako umenigandamiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa mishale yako imenichoma, na mkono wako umenipiga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mishale yako imenichoma, Na mkono wako umenipata.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mishale yako imenichoma; mkono wako umenigandamiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa mishale yako imenichoma, na mkono wako umenishukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa mishale yako imenichoma, na mkono wako umenishukia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mishale yako imenichoma, Na mkono wako umenipata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mishale yako imenichoma; mkono wako umenigandamiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mishale yako imenichoma, nao mkono wako umenilemea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mishale yako imenichoma, Na mkono wako umenipata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, usiniazibu kwa hasira yako, usiniadibishe kwa kasirani yako.