Psalms 38:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao wanaonilipa maovu kwa wema wangu, wananipinga kwa sababu natenda mema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaolipa wema wangu kwa maovu hunisingizia ninapofuata lililo jema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, wakilipa mabaya kwa mema, Huwa adui zangu kwa kuwa nalifuata lililo jema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao wanaonilipa maovu kwa wema wangu, wananipinga kwa sababu natenda mema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaolipa maovu kwa wema wangu hunisingizia ninapofuata lililo jema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaolipa maovu kwa wema wangu hunisingizia ninapofuata lililo jema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, wakilipa mabaya kwa mema, Huwa adui zangu kwa kuwa nilifuata lililo jema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao wanaonilipa maovu kwa wema wangu, wananipinga kwa sababu natenda mema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mema, niliyowafanyizia, wanayalipa na kunifanyizia mabaya wananipingia, kwa sababu ninayakimbilia yaliyo mema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, wakilipa mabaya kwa mema, Huwa adui zangu kwa kuwa nalifuata lililo jema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui zangu ni wazima, wana nguvu, ni wengi sana hao wanaonichukia bure.