Psalms 38:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usinitupe, ee Mwenyezi-Mungu; ee Mungu wangu, usikae mbali nami.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, usiniache, usiwe mbali nami, Ee Mungu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe, Bwana, usiniache, Mungu wangu, usijitenge nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usinitupe, ee Mwenyezi-Mungu; ee Mungu wangu, usikae mbali nami.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, usiniache, usiwe mbali nami, Ee Mungu wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, usiniache, usiwe mbali nami, Ee Mungu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe, BWANA, usiniache, Mungu wangu, usijitenge nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usinitupe, ee Mwenyezi-Mungu; ee Mungu wangu, usikae mbali nami.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiniache, wewe Bwana! Mungu wangu, usinikalie mbali!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe, BWANA, usiniache, Mungu wangu, usijitenge nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wanaonilipa mabaya kwa mazuri, wananipinga kwa sababu ninatenda mazuri.