Psalms 38:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uje haraka kunisaidia; ewe Mwenyezi-Mungu, uliye wokovu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana Mwokozi wangu, uje upesi kunisaidia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ufanye haraka kunisaidia, Ee Bwana, wokovu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uje haraka kunisaidia; ewe Mwenyezi-Mungu, uliye wokovu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Bwana Mwokozi wangu, uje upesi kunisaidia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Bwana Mwokozi wangu, uje upesi kunisaidia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ufanye haraka kunisaidia, Ee Bwana, wa wokovu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uje haraka kunisaidia; ewe Mwenyezi-Mungu, uliye wokovu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Piga mbio, unisaidie, wewe Bwana, wokovu wangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ufanye haraka kunisaidia, Ee Bwana, wokovu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usinitupe, ee Yawe; ee Mungu wangu, usikae mbali nami.