Psalms 38:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hamna mahali nafuu mwilini mwangu, kwa sababu umenikasirikia; hamna penye afya hata mifupani mwangu, kwa sababu ya dhambi yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna afya mwilini mwangu kwa sababu ya ghadhabu yako, mifupa yangu haina uzima kwa sababu ya dhambi zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hamna uzima katika mwili wangu Kwa sababu ya ghadhabu yako. Wala hamna amani mifupani mwangu Kwa sababu ya hatia zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hamna mahali nafuu mwilini mwangu, kwa sababu umenikasirikia; hamna penye afya hata mifupani mwangu, kwa sababu ya dhambi yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna afya mwilini mwangu kwa sababu ya ghadhabu yako, mifupa yangu haina uzima kwa sababu ya dhambi zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna afya mwilini mwangu kwa sababu ya ghadhabu yako, mifupa yangu haina uzima kwa sababu ya dhambi zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hamna uzima katika mwili wangu Kwa sababu ya ghadhabu yako. Wala hamna amani mifupani mwangu Kwa sababu ya hatia zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hamna mahali nafuu mwilini mwangu, kwa sababu umenikasirikia; hamna penye afya hata mifupani mwangu, kwa sababu ya dhambi yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna kilicho kizima mwilini mwangu kwa ukali wako ulionitokea. Wala fupa lisilopatwa na ugonjwa haliko kabisa kwa ajili yao hayo, niliyoyakosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hamna uzima katika mwili wangu Kwa sababu ya ghadhabu yako. Wala hamna amani mifupani mwangu Kwa sababu ya hatia zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mishale yako imenichoma; mukono wako umenigandamiza.