Psalms 38:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimefunikwa kabisa na dhambi zangu, zinanilemea kama mzigo mzito mno kwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maovu yangu yamenifunika kama mzigo mzito mno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana dhambi zangu zimenifunikiza kichwa, Kama mzigo mzito zimenilemea mno.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimefunikwa kabisa na dhambi zangu, zinanilemea kama mzigo mzito mno kwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maovu yangu yamenifunika kama mzigo usiochukulika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maovu yangu yamenifunika kama mzigo usiochukulika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana dhambi zangu zimenifunika kichwa, Kama mzigo mzito zimenilemea mno.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimefunikwa kabisa na dhambi zangu, zinanilemea kama mzigo mzito mno kwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Manza, nilizozikora, zinanirudia, nizitwike kichwani, lakini kwa kuwa mzigo upitao nguvu zangu zinanilemea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana dhambi zangu zimenifunikiza kichwa, Kama mzigo mzito zimenilemea mno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna uzima katika mwili wangu, kwa sababu umenikasirikia. Hakuna afya hata katika mifupa yangu, kwa sababu ya zambi yangu.