Psalms 38:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Madonda yangu yameoza na kunuka, na hayo ni matokeo ya ujinga wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Majeraha yangu yameoza na yananuka, kwa sababu ya upumbavu wa dhambi zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jeraha zangu zinanuka, zimeoza, Kwa sababu ya upumbavu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Madonda yangu yameoza na kunuka, na hayo ni matokeo ya ujinga wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Majeraha yangu yameoza na yananuka, kwa sababu ya upumbavu wa dhambi zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Majeraha yangu yameoza na yananuka, kwa sababu ya upumbavu wa dhambi zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Majeraha yangu yananuka na kutunga usaha, Kwa sababu ya upumbavu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Madonda yangu yameoza na kunuka, na hayo ni matokeo ya ujinga wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Madonda yangu yananuka kwa usaha mwingi kwa hivyo, nilivyokuwa mwenye upumbavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jeraha zangu zinanuka, zimeoza, Kwa sababu ya upumbavu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimefunikwa kabisa na zambi zangu, zinanilemea kama muzigo muzito sana.