Psalms 38:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimepindika mpaka chini na kupondeka; mchana kutwa nazunguka nikiomboleza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimeinamishwa chini na kushushwa sana, mchana kutwa nazunguka nikiomboleza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimepindika na kuinama sana, Mchana kutwa nimekwenda nikihuzunika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimepindika mpaka chini na kupondeka; mchana kutwa nazunguka nikiomboleza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimeinamishwa chini na kushushwa sana, mchana kutwa nazunguka nikiomboleza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimeinamishwa chini na kushushwa sana, mchana kutwa nazunguka nikiomboleza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimejipinda na kuinama sana, Mchana kutwa ninaenda nikiomboleza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimepindika mpaka chini na kupondeka; mchana kutwa nazunguka nikiomboleza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kupindika sanasana nimepotoka, mchana kutwa ninatembea kwa kusikitika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimepindika na kuinama sana, Mchana kutwa nimekwenda nikihuzunika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vidonda vyangu vimeoza na kunuka, na hayo ni matokeo ya ujinga wangu.