Psalms 38:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Viungo vyangu vimeshambuliwa na homa; mwilini mwangu hamna nafuu yoyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viuno vyangu vimejaa maumivu yaunguzayo, hakuna afya mwilini mwangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana viuno vyangu vimejaa homa, Wala hamna uzima katika mwili wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Viungo vyangu vimeshambuliwa na homa; mwilini mwangu hamna nafuu yoyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viuno vyangu vimejaa maumivu yaunguzayo, hakuna afya mwilini mwangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viuno vyangu vimejaa maumivu yaunguzayo, hakuna afya mwilini mwangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana viuno vyangu vimejaa homa, Wala hamna uzima katika mwili wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Viungo vyangu vimeshambuliwa na homa; mwilini mwangu hamna nafuu yoyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani viuno vyangu vinazidi kuchomwa na moto wa machungu, hakuna kilicho kizima mwilini mwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana viuno vyangu vimejaa homa, Wala hamna uzima katika mwili wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimepinduka mpaka chini na kupondekana; muchana kutwa ninazunguka nikiomboleza.